Ni gari nzuri na hudumu hasa ukizingatia service, ukitaka kui enjoy gari kwenye upande wa suspension, ibadilishe kwenda kwenye coils, utoe air suspension maana katika moja ya magonjwa ya discovery 4 hio inakufa haraka.
Nimemuagizia parts mdau wangu teyari, kaona bora abadilishe tu kuepuka shida ya Air suspension maana coils ni bei nafuu na hudumu sana.