Land Rover 109 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Land Rover 109

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Bujibuji, Aug 25, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Natafuta Land Rover 109 ya kununua iwe katika hali nzuri.
  [​IMG]
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah kuna muhindi mmoja kauza juzi tena bei ya kutupwa alikuwa anataka 3.5m
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Dah, bahati haikuwa yangu
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Miye ninayo, lakini ya ulisi,gari roho ya paka hii!!!
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hizi ndo zenyewe kwenye barabara dume yaani mwenye cruser unamwacha kwenye tope akishangaa
   
 6. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  utaipenda? ya 1985
   
 7. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nenda moshi au arusha kule nilikutana nazo za kumwaga na ziko poa kinoma.
   
 8. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mi kuna rafiki yangu mmoja anauza ila ni ya petrol na bei ni million mbili na iko poa kinoma.
   
 9. l

  lonesome Senior Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kuna jamaa kanambia anauza ya mwaka 1982 ni automatic, full ac. alloy rims. imetembea km 2,000,889 tu ipo fresh haisumbui kitu funguo mara moja. fulltime four wheel drive. rangi nyeus . anasema bei ni million 12 ila anaweza kukupunguzia. land rover 109 ya mwingereza mwenyewe kaka, kitu chuma kitupu ni gari imara sana.
   
Loading...