Kisusi Mohammed
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 563
- 468
Jesca kuna Terrano Nissan, good order anatumia my wife wangu.sasa nimemvutia kitu ingine.hey hiyo sinta iweza niambie gari nyingine nzuri kwa mabint za bei yakawaida kama zinapatika iwe inaweza kupita rafuroud
See, hata wale jamaa wasiojua magari (I dont mean any offense), wananunua japan moja kwa moja.
Jesca kuna Terrano Nissan, good order anatumia my wife wangu.sasa nimemvutia kitu ingine.
Sema kama vipi uchape rafu rodi kama kawa