Wakulima wenzangu nipeni kazi

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
468
Habarini za majukumu wakuu wa JF, mimi ni mmjasiriamali tarajali ambae najitahidi kukabiliana na hii kasi ya ukuaji wa gharama za maisha kwa kujitafutia senti za ziada kwa kila njia niwezayo.

Naamini humu kuna wadau wengi wenye kulima japo kwa msimu na kwa kutegemea mvua. Basi kwa kulihisi hilo nikaona si vibaya nikiwajuza ya kwamba kwa wale wenye mashamba maeneo ya kati ya Morogoro mpaka Dodoma wanaolima kwa kutumia TREKTA na huwa wanakodi trekta hilo basi wanaweza kunipa mimi hiyo kula ili nami niweze kulipa angalau bili ya umeme na maji.

TREKTA langu lipo maeneo hayo, na linaweza kwenda popote kati ya Moro na Dom kulingana na makubaliano ya muhtaji wa huduma hiyo.

Tazama picha kuona trekta lenyewe.

Endapo utahitaji huduma hiyo wasiliana nami kwa namba zifuatazo:

Wazee wa Extreme: 0715 555 512

Wazee wa Jirushe: 0787 111 123

Wazee wa Vodajamaa: 0768 111 123


Zantel Mtelezo: 022 550 5970
 

Attachments

  • Trekta 1.jpg
    Trekta 1.jpg
    350.6 KB · Views: 67
  • Trekta 2.jpg
    Trekta 2.jpg
    327 KB · Views: 56
  • Trekta 3.jpg
    Trekta 3.jpg
    324.2 KB · Views: 59
  • Trekta 4.jpg
    Trekta 4.jpg
    325.1 KB · Views: 52
  • Trekta 5.jpg
    Trekta 5.jpg
    205.4 KB · Views: 54
Sina majibu ya maswali yako.

Je, kuna mashamba huko yanayouzwa? Kama yapo kiasi gani? Umbali gani kutoka barabarani?
 
mimi nakushauri uende na hilo trekta kibaigwa!wala hutahitaji matangazo mengi
 
Bluray mashamba yapo yanauzwa na yapo yanayokodishwa, mi ninalo shamba la heka 50 nalikodisha kwa kila heka ni Shilingi elf 12, kama unahitaji tuwasiliane au niPM.

Kaka Geof nakwambia Trekta lipo Dumila kwa sasa kuna kazi kidogo zinafanyika pale, lakini makazi yake ni Kibaigwa.
 
Back
Top Bottom