Land cruiser v8

Land cruiser v8

Wadau nafikiria kumiliki huyo mnyama. Za mwaka 2010-2014 bei gani yard? Naomba kujua risk zake na advantages Zeke. Mi najua moja ya ulaji wa mafuta
Mtu ukishafikia uwezo wa kumiliki gari la aina hii,
huwezi kuwa na mawazo kama haya ya kuulizia advantages zake na risk wala kuulizia mafuta
 
hivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8 😂😂

wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines

kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
 
Tunashukuru mkuu
 
Ni mazoea tu wala sio issue kubwa. Ni kama vile rav4 kilitime, and the like, so dont take it too serious buddy.
 
Braza hiyo 1litre per 9kms ni kwa safari ndefu labda (Highway Driving) ila kwa mizunguko ya town tu bana inabugia 1 litre per 5kms braza, piston 8 ila najua jamaa anajiweza
Unazungumzia a petrol itakuwa,kuna v8 la diesel,1 lts ,km 15
 
hivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8

wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines

kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
Hii ndio gari ya kwanza kwenye series 200 ya Toyota Land Cruiser kuwekewa engine ya V8. Hapo awali series 70,80,100 zilikuwa zinatumia mfumo wa inline 6 cylinder.

Pia kuna Land Cruiser Vx Limited na series 79 zinakuja na V8 engine.
 
Wataalam wa mambo. Safi sanaa
Inline 6 cylinder (very technical)
 
Hii ndio gari ya kwanza kwenye series 200 ya Toyota Land Cruiser kuwekewa engine ya V8. Hapo awali series 70,80,100 zilikuwa zinatumia mfumo wa inline 6 cylinder.

Pia kuna Land Cruiser Vx Limited na series 79 zinakuja na V8 engine.
Hivi
Vx limited ina v-type engine?
Pia ina piston 8?
 
hivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8

wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines

kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
Landcruiser 200 series diesel engine v8 ilikuja kama standard option, , yes huko nyuma zilikuwepo v8 engines lakini zilikuwa ni petrol engine, 1Uz na 2Uz , ni moja ya engine za v8 configuration, V8 za miaka ya nyuma hazikuwa standard , zilikuwa zinakuja kama luxury options Lx na Vx, hasa lexus
 
Hii ndio gari ya kwanza kwenye series 200 ya Toyota Land Cruiser kuwekewa engine ya V8. Hapo awali series 70,80,100 zilikuwa zinatumia mfumo wa inline 6 cylinder.

Pia kuna Land Cruiser Vx Limited na series 79 zinakuja na V8 engine.
Si kweli , toyota wan v8 engines tokea miaka ya themanini, ila zilikuwa ni za petroli ,
 
hivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8 😂😂

wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines

kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
Ahsante kwa maelelzo ya kitaalam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom