Lamu feature: The mzungu

Mzizi Mkavu
===>Unafikiri anajifunza kiswahili tu yule?
===>Jiulize inakuwaje USA wanajuaje taarifa mbali mbali za ugaidi kuliko sisi wenyewe waafrika?
===>Hiyo ndio dhana nzima ya kudukua taarifa za kiintelijensia.
 
Last edited by a moderator:
Hawa huwa wakiamua kujifunza kitu huwa wanajifunza kwa nia moja, mshimshangae huyu tu na Tanzania tunae mwandishi wa habari anaitwa Bwana Makengeza huyu ukimsikia anaongea kinyamwezi huwezi kuamini kama mzungu anaweza kuongea lugha ya kinyamwezi kama myamwezi anavyoiongea maana mpaka alipewa jina Mabala ni jina lakinyamwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…