Wajaluo ukimtoa Mabere Marando aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo hilo...wengine wote wame-prove failure...kuanzia kwa profesa sarungi, na huyu darasa la 4 Airo...tatizo la watu wa Rorya wengi hawana elimu hivyo hawajitambua kifikra, kwa hiyo Airo akifika sehemu eg.
kwenye kitongoji Fulani anatoa msaada wa mabati au saruji au pesa hivyo wana-rorya kwa kuwa hawana elimu, wanampa kura....kutokana na hali hiyo sitegemei kuona mabadiliko hapo Rorya...mimi pia nyumbani ni Rorya hapo Nyamagaro, na nimesoma s/m Muharango na sekondari nimesoma Buturi..
ingawa kwa sasa nipo nje ya Rorya na Mkoa .kwa hiyo nasema kwa experience...vile vile tatizo linguine ni watu wa tarafa ya nyancha kutopendana kabisa...mgombea mjaluo akitaka kushinda ubunge basi huwa anashindia tarafa ya nyancha sio huko ujaluo...