Lamborghini Gallardo !

nimecheki hapo down ktk Topic Information nimegundua ni wewe Mbuzi Mzee na mimi tu ndio tuna browse hii thread.wangine wapo njiani.asante kwa mapicha.
 
Last edited by a moderator:
duh nimesafisha macho thanks Mbuzi mzee
 
mh, kuna watu wanaishi na wengine wanaigiza
 
haya malamboghini si ndo nasikia bei yake ni sawa na bajeti ya wizara hapa bongo!!??/
 
Aliwazalo mtu ndilo linalomtokea, kila la kheri katika kupata moja lako Mbuzi Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…