Lamborghini centenario

Hahahaa asante mkuu kwa sababu hizo ila nadhani kila mwanadamu ana mitazamo yake kwenye kila jambo hapa duniani ,the reasons you came out with might just be right with you and not with anyone else for that matter ,ndio maana Warren Buffet anaendesha pengine Jaguar ya mwaka 1976 ila Floyd Mayweather anaendesha Buggati ambazo zimetengenezwa mbili tu duniani ,kwangu mimi ukinipa kati ya lamboghini na Maybach i will definitely go for Maybach ....tho base ya argument yetu hapo juu ilikua ni kuna ulazima gani wa hizi super cars kuwa na speed kuanzia 350-420 wakati kwenye maisha ya kawaida sio rahisi kuendesha hiyo gari kufikia top speed hiyo
 

To my opinion part of this top speed is purely for salesmanship.
For marketing,higher speed means strong engine.
I don't think there is any road anywhere in the world where it is legally permitted for cars to drive at that speed.(350km/h-420km/h) more so the tires can't long endure to be pushed at that speed.
Handling becomes an issue at that speed
It is impractical. It takes 5 mins for buggatti Chiron to drain all the fuel in the tank when at top speed
That is why despite those top speeds these cars are electronically limited to certain speeds(200km/h)
 
Wow thanks ,you finally came up with the answers that i was looking for all this time ,i believe there should be a gentleman agreement between the manufacturer and the authorities that they should put a speed governor that is limited to 200-240kph regardless of the car top speed
 
Naona Hiyo Lamborghini centenario itamfaa sana dada yangu, mimi nitabaki na ile Bugatti chiron!
 

Yes mkuu most of these sports cars are computer limited to practical speeds. Though they still release limited editions with those top speeds only to certain individuals. And, am sure u can't drive this car at that speed without the manufacturer's experts near by
 
Hizi gari zina sura mbaya sana.

Atleast koensegg
 
Naona Hiyo Lamborghini centenario itamfaa sana dada yangu, mimi nitabaki na ile Bugatti chiron!

Mkuu umechelewa. All sold out. Silishauzwa back in 2015 before the car was not yet a reality, when the company showed an hologram of the car.
Hizo gari zinatengenezwA kwa order tu. Na zinatengenezwa just 40 pices. (20 coupes and 20 roadsters
 
Mkuu! Mie naamini Tanzania ya kuwa hatuna Highway... Barabara zetu hazina sifa za highway. Mfano ni nyembamba, Viwango duni, Mchanganyiko uliopo ni wa hatari ie Makazi, Mifugo na wachungaji wake, mabasi, malorry, gari ndogo na hata pikipiki na vyote ni Lane 2 tu zinazopishana...
Highway inatakiwa iwe mbali na makazi, iwe ni njia tu kuepuka ajali zisizo za lazima.... Dah!! Poor us.
Zimbabwr kuna baadhi ya maeneo unaendesha unaambiwa kwa mfano upo Mafinga ila hapo unaona njia nyingine ndogo ya kuelekea huko na ni about 10km kutoka highway...
Poor planning
 
Hapo 'exits' na 'bypasses' zinahusika...hata Nairobi wamejitahidi kwa kiasi fulani...ingawa siyo katika viwango vinavyokubalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ