Lakini wazungu wanamkubali Lowassa kweli?

Kama fate yako umeiweka mikononi mwa marafiki wa ccm, ni wewe. Sisi Wtanzania tunasonga mbele na mabadiliko regardless interests of third parties.Unadhani walipo kodi wa nchi za magharibi wanafurahishwa na fedha zao kuja huku? BTW, hao wazungu unaowasema siku wakifahamu naman ccm imekuwa ikiwahadaa na kuabuse michango yao, lazima wataona ccm ni zimwi mumiani.
 
Mimi ni mvumilivu kama Lowassa. Umeona nimereact kwa kuitwa nyau?

Inawezekana kabisa umeandika uharo ktk post yako ya kwanza, ila katika hili la uvumilivu umetapika almas ni juu yao kuokota au wafe maskini! safi sana
 
Ukimuona mtu mzima ana COLONIAL MENTALITY

jiulize maswali je ni Mzima?

Mzungu ni nani?kwenye serikali yetu/uchaguzi wetu

Acha kutegemea akili ya mzungu

WAAFRIKA TUNAWEZA,WATANZANIA TUNAWEZA NA TUNAJIAMINI bila MZUNGU
 
Mi nadhani mzungu hausiki kabisa katika mabadiliko ya nchi bali kazi ya mzungu ni kujalibu kujiuza kibiashara katika nchi husika bila kujali uongozi wa nchi hio kwahio kama walifanya maovu na ccm kabisa walikua wanajua kwamba tanzania itakuja kubadilika na vile vile wazungu wanawekaga mikakati ya miaka 100 na kwendelea so wanajua kwamba ccm wasingekaa madarakani miaka yote namalizia nikisema kwamba si lazima wampende bali nikujalibu kujua jinsi gani ya kuelewana na serikali yake endapo atakua rais
 
Kwani hao wazungu wamejiandikisha kwenye daftari la kupiga kura? Wawe wanampenda au hawampendi bado ukweli utabaki palepale lowasa atakuwa rais wa tanzania kuanzia tarehe 26 oct.
 
Ukweli ni kuwa huwezi kuwa rais wa nchi yoyote ya dunia ya 3 bila kukubaliwa na Marekani na European Union
 
Hii hoja nzito. Vilaza kaeni pembeni. Kuna tofauti kubwa ya nilichoandika na ulichopost.

Watu wa MUSOMA kwa kawaida ni watu wenye uelewa na thinking capacity ya hali ya juu! sasa wewe ni chacha gani wewe?
yani bila mzungu wewe huwezi kuishi? siasa na uchumi tegemezi wakati tuna rasilimali lukuki ndizo tunazozikataa. Ndiyo maana ya mabadiliko yanayotafutwa na watanzania wenzio. wewe bado unataka misaada??? shame on you!

Kama mbuga zetu zinavyolindwa na wachina, wewe inakuridhisha hii hali? ohhhh dear!!!!:A S embarassed:
:shocked::embarrassed::iamwithstupid:
 
Sijui hata unaelewa dunia inavyokwenda?
 
Kwa asilimia kubwa, nchi za dunia ya tatu zinaendesha bajeti zao kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea, hususani Marekani na Jumuiya ya Ulaya.

Watoa misaada hao wamekuwa wakitumia udhaifu huo wa umaskini kutengeneza urafiki wa kinafiki na vyama vya siasa vinavyoongoza nchi hizi fukara.

Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo. Tangu uhuru imekuwa ikiishi kwa misaada ya nchi za magharibi na kwa vyovyote vile nchi hizi ni wanufaika wakubwa wa rasilimali zetu. Na kwa vyovyote vile CCM imeshajitengenezea urafiki mkubwa na nchi hizi.

Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, ushindani mkubwa ukiwa baina ya mgombea wa CCM(John Magufuli)na yule wa Ukawa(Edward Lowassa). Hisia nyingi mtaani ni mapenzi makubwa kwa mgombea wa Ukawa.

Lakini wazungu wanamkubali Lowassa kiasi hiki kweli? Wazungu wapo tayari kuona mabadiliko kweli?Kuna sababu gani za msingi zitakazowafanya waiondoe CCM madarakani kama zipo?

Hii ni Tanzania. Hatafutwi chancelor wa ujerumani wala waziri mkuu wa uingereza
 
Kwa asilimia kubwa, nchi za dunia ya tatu zinaendesha bajeti zao kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea, hususani Marekani na Jumuiya ya Ulaya.

Lakini wazungu wanamkubali Lowassa kiasi hiki kweli? Wazungu wapo tayari kuona mabadiliko kweli?Kuna sababu gani za msingi zitakazowafanya waiondoe CCM madarakani kama zipo?

Nakubalia na wewe kuwa wazungu kiukweli hawapendi kuona Afrika inajikwamua kiuchumi kwa sababu tukiendelea kubakia maskini bado tutaendelea kwenda kwao kuomba msaada.

Kwa hiyo basi Lowasa si chaguo lao kwani amewaahidi Watanzania kuwaondoa ktk umaskini. Wakati wao wanataka kuendelea kutumia umaskini wetu kutunyonya na mikataba mibovu.

Ili mzungu amkubali mtu lazima kwa namna moja ama nyingine ananufaika naye..........
 
Wananchi wanamkubali na hii ni nchi yao si ya wazungu kwa hiyo wamkubali wasimkubali hatawaongoza wao ataongoza watanzania..... Kura yangu kwa Lowassaaaaaa...
 
Kwa asilimia kubwa, nchi za dunia ya tatu zinaendesha bajeti zao kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea, hususani Marekani na Jumuiya ya Ulaya.

Watoa misaada hao wamekuwa wakitumia udhaifu huo wa umaskini kutengeneza urafiki wa kinafiki na vyama vya siasa vinavyoongoza nchi hizi fukara.

Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo. Tangu uhuru imekuwa ikiishi kwa misaada ya nchi za magharibi na kwa vyovyote vile nchi hizi ni wanufaika wakubwa wa rasilimali zetu. Na kwa vyovyote vile CCM imeshajitengenezea urafiki mkubwa na nchi hizi.

Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, ushindani mkubwa ukiwa baina ya mgombea wa CCM(John Magufuli)na yule wa Ukawa(Edward Lowassa). Hisia nyingi mtaani ni mapenzi makubwa kwa mgombea wa Ukawa.

Lakini wazungu wanamkubali Lowassa kiasi hiki kweli? Wazungu wapo tayari kuona mabadiliko kweli?Kuna sababu gani za msingi zitakazowafanya waiondoe CCM madarakani kama zipo?

Wazungu Gani Kwani Hata Iddi Hassan Nae Ni Mzungu a.k.a Zungu Pia Bila Kusahau Yule Msanii Wa Miziki Ya Bongo Fleva Aitwae Mzungu Kichaa.
 
Tumia akili yako japo mara moja kwa wiki

Kama Tu AKILI Yangu Ya Siku Inakushinda Kuielewa Kwa Upumbavu Na Ulofa Unaokusumbua Je Hiyo Ya Wiki Utaielewa Kweli? Huwa Sikaukiwi Na Majibu Ya Kuwajibu MAPOPOMA Kama Wewe.
 
Back
Top Bottom