Mkuu Tikerra heshima mbele!
Mimi napinga utawala wa JK kwa zaidi ya 100% lakini kwa hoja yako ya leo kuhusu kulipuka kwa mobomu mbagala na impact yake kwa wananchi, sioni uhusiano wa moja kwa moja na utawala wa JK.....to me hili lingewa kutokea kipindi cha BM,AHM au hata kipindi cha JKN!
Labda kitu ambacho ungemlaumu JK ni namna walivyohandle tatizo lile baada ya kutokea na sio kwa nini JK hakuzuia kutokea mkuu! Ile ilikuwa ajali ambapo si Tanzania tu bali hata sehemu nyingi duniani ajali hizi huwa zinatokea......hata na hivyo kwa milipuko ya mbagala pengine impact haingekuwa kubwa vile kama wananchi wangekuwa mbali na eneo lile!.....to me kama ni kulaumiwa wananchi kusogea maeneo ya jeshi, basi ni tawala zote zilizopita i.e JKN,AHM,BM itabidi walaumiwe kwa sababu hawakuweka utaratibu ambao ungehakikisha wananchi hawasogelei maeneo ya jeshi!
So kwa hili, sitaki kurusha lawama moja kwa moja kwa JK!