Lakini kwa taabu sana

Lakini kwa taabu sana

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Vibaka wanne walikodiwa kumfanyizia kitu mbaya baunsa mmoja mwenye tabia ya kuchukua wake za watu.Walimvizia wakati akitoka matembezini mida ya saa 2 usiku,wakamkamata na kumburuzia vichakani.Walipojaribu kuitumia 'line yake ya tigo'kinguvu,yule baunsa alipigana nao na kuwaumiza vibaya sana.Wale vibaka hawakukata tamaa,walimkomalia mpaka wakamla 'tigo'.Kesho yake watu wakawa wanamuuliza kuhusu yeye kuliwa'tigo' aliwajibu;ndio ni kweli wamekula 'tigo' yangu lakini kwa taabu saana,nimewasumbua kinoma yaani mngewaona nilivyowaumiza!
 
Back
Top Bottom