laki tatu kwa siku haitoshi

golden heart

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
13
Reaction score
1
katika hili hakuna mkweli bungeni zaidi ni sawa na muomba kazi anayefanya kazi kwa maslahi yake mwenyewe.mwalmu analipwa lakitatu kwa mwezi hakuna anayemsikiliza bado anaishi na kile anacho pata.mbunge unadai laki tatu kwa siku ndogo inauma mkulima hata elfu kumi kwa siku nyingi hamuonei huruma zaidi ya kuchukua kodi katika kile anacho kitafuta kidogo na kukitumia ninyi mtuonee huruma selikari hii haina mapenzi na wananchi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…