Laiti MCHAGA angekuwa RAIS...maendeleo ya nchi yangekuwa mbali sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laiti MCHAGA angekuwa RAIS...maendeleo ya nchi yangekuwa mbali sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Dec 27, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tukubali kuwa Wenzetu wanapenda maendeleo.Nenda popote mijini Tanzania utawakuta,wawe wamesoma au kutosoma.

  Nenda Mpwapwa,Singida ,Babati utawakuta.Mnaweza kupata mshahara mmoja,lakini Mchaga anafikiria kujenga kidogo kidogo.Atakunywa bia moja muda mrefu anafikiria miradi.

  Nilipofika Moshi ,O-level miaka ya 80s ,nilishangaa.Niliona nyumba nzuri tu,wakati kula nikatoka ,ni nyumba za nyasi na watu wanalalia ngozi.Kabla ya utitiri wa secondari sasa,Nafikiri kipindi kile K'manjaro ilikuwa inaongoza kwa shule za sekondari.Tukubali wengi walikwenda shule mapema.Kwa hiyo kikabila wako overrepresented katika fani mbali mbali ,udaktari,uhandisi,accountants etc.

  Nafikiri tungekuwa na Mchaga,baada ya Nyerere may be nchi yetu ingekwenda mbele zaidi maana wenzetu tutake tusitake wanajua nini maana ya maendeleo.Nawafahamu watu fulani(makabila mengine) wananyumba nzuri Dar,lakini ukifika kijijini walipozaliwa utashangaa!

  Nimefanya kazi na wachaga nawaelewa sana.
   
 2. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mmakonde:

  You are very cheap. Mambo anayofanya mchagga yalifanywa na wazungu zaidi ya miaka 1000 iliyopita. Sasa kwanini usitake wazungu tu wakutawale?
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hayo ni ya kweli anapingana na wewe ni walewale wasiopenda maendeleo.....hakuna ubishi kwa hilo nenda sehumu yeyote ile ukute mchaga atakuwa anawaza maendeleo ila kuna makabila mengine wao hakuna wanachowaza zaidi ya kujirudisha nyuma kwa mambo yao yasiyokuwa na Tija kila mmoja anajijua na kabila lake lina mchango gani kwa Taifa lake!
   
 4. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Fafanua sentensi yako.Sifikirii Mzungu atutawale nazungumzua Watz wenzetu,Wachaga.
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Na kwanini wasitutawale hao wachaga kuliko wazungu tuliwafukuza wenyewe? sijakuelewa hapa
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwa taarifa yako wachaga ndio waharibifu wa mambo(si wote) kwenye nchi hii,sidhani mpaka uwe rais ndo ulete maendeleo.ni kweli wako overrepresented ktk taasisi zetu,kama kweli ni watu wa maendeleo basi leo tusingekuwa hapa tulipo,uwezo wao wa kuiga utamaduni wa magharibi(bila kufikia kiwango) haimaanishi maendeleo,ungeniambia wamasai ningekubali kwa sababu wanaheshimu na kusimamia kanuni,wairak safi kwani wana msimamo,wapemba subiri zanzibar baada ya 5 years.
  Siwavunjii heshima ila kina mangi hata kwenye ku-t-o-n-g-o-z-a wao humwaga fedha tu,lugha ya ushawishi kwao ni zero.sio wabunifu bali wanasubiri mtu aanzishe waanze kuiga.
  Hawana hulka ya kujitoa kwa ajili ya maslahi ya mwingine(hata ndugu yake)

  nakataa,hakuna na haitatokea mchaga kuiletea Tz.labda kama maendeleo ni kuuza karanga kariakoo.
   
 7. m

  makeke Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe kwenye ubinafsi, Mramba alipeleka bajeti ya ujenzi wa barabara yote kwao rombo.
   
 8. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,210
  Trophy Points: 280
  Nakubali wachaga ni watu wa maendeleo, lakini tatizo lao ni umimi wa kikabila, wao wanataka maendeleo kwa wao na kwa wachaga wenzao tu. Ila mchaga akiwa rais nadhani maendeleo yataonekana angalau kidogo kuliko watu wa pwani, yaani watajipendelea lakini watakumbuka na wengine, hawa watu wanajua kucheza na fulsa, pale mahali kabila lingine limeshindwa wao hufanikiwa, ni kama Jews wa Tanzania.
   
 9. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Mkuu, watu watadiriki hata kutoka nje ya mstari na kuanza kukurushia matusi.Ngoja nivute JD nisuri mchezo uanze.
   
 10. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  ukizumguzia individuals,utakwama.
  Mafisadi wakuu kama EL,harepresent majority ya Wamasai.

  Tunazumguza substance hapa.
  Fika Moshi migombani,halafu ufike huko Mtwara kwetu vijijini.Utashudia mambo.
   
 11. t

  truthprevails New Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikubalini na hili swala, mia kwa mia, kwani, tujaribu kuangalia upande wa pili wa shillingi. I mean, the spirit of patriotism no longer exists in the hearts of Tanzanians. i think the solution to the underdevelopment of Tz lies in our educational system and the way Tanzanians perceive themselves. Remember, chagas also have an unquenchable thirst for money and power, all in all. Lets restore the love for our nation, by being on the front line, in addressing issues of poverty especially that are mainly fostered by underdevelopment of the road networks in Tz and squandering of money by government leaders. " imagine, nearly every Tanzanian is thinking of hoarding money, once he/she gets in power." We may end up digging our own graves, and paving way for.... worse things. Your perception is far from reality.. it cant be certain... am a chagga.. but i have the feeling that we should revive the fighting spirit in areas of education and technology in all sectors that drive our economy. The diamond and gold we have in tz is able to make us the 2nd richest nation Africa, after congo. Be blesd.
   
 12. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Lakini nadhani hujaishi nao.
   
 13. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Mbona Moshi Mjini haijaendelea kwa chochote kile.
   
 14. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Na wewe bana...kashakwambia kasoma Moshi.
   
 15. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Rudia yako ya kwanza. Unamtaka mchagga kwa sababu ya maendeleo yao. Kwanini usimtake mzungu au mjapani kwa maendeleo yake. Na kama unataka mtanzania mwenzako, ukienda Kagera wahaya nao hawakuchelewa kwani usitake muhaya?
   
 16. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna wakati Watanzania watakuwa hawawazi kabila la Rais. Bado tuna safari ndefu katika hili. Kama jamii bado inawaza kabila la Rais ujue kuna migogoro mingi ambayo jamii hiyo italazimika kukabiliana nayo kama udini kwa kuwa ubongo unaowaza kabila pia una element ya kuwaza udini, ukanda, mikoa na wilaya. Mambo bado!
   
 17. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mzungu anayo technologia. Mzungu anao unao mtaji. Mzungu ana pedgree ya maendeleo na innovation. Mzungu kamfundisha mchagga. So why don't you see the maestro himself.

  Katika kila nchi ya kiAfrika kuna kabila lililojitokeza zaidi ya kabila jingine. Kuna waganda huko Uganda. Kuna wakikuyu huko Kenya. Kuna wachagga Tanzania. The list goes on. Pamoja na hayo, makabila husika hayajafanya kile makaburu walichofanya South Africa.
   
 18. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Hayo mahekaru ya Migombani wanaishi akina nani kama sio yanalindwa tombs. Hata ndugu hawaruhusiwi kuishi bila kujali kama hawana makazi bora.
   
 19. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine desturi hufanya kanuni, ni ukweli usiopingika kwamba japo Wachaga wanapenda pesa lakini mambo ya maendeleo wanayapa kipaumbele, utaona katika upande wa huduma za afya kama Elimu, wachaga hawana uzembe katika hili.

  Nilipata kuishi Songea na bahati nikawa ktk sekta flan pale, huwezi amini nilishuhudia maajabu pale maana pesa za miundombinu kama barabara zinafujwa ajabu ule mkoa swala la elimu halina kipaumbele chochote.
  Tukipata mtu wa kabila nyingine lau kaskazini au kanda ya ziwa labda mabadiliko yatatokea.
   
 20. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  sidhani kana hilo lina uhalisia , labda ungesema tungepata kiongozi mwenye uchungu na nchi kwa dhati ya moyo wake , aone kama nchi hii ni ya baba yake mzazi kaachiwa urithi asaidie nduguze, awajibike kujitolea kwa hali na mali ubinafsi , urafiki, undugu. kulindana. akaweka kando hilo lingewezekana nchi ya rwanda ilikuwa ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe leo hii iko wapi? sisi bado tungali na mgao wa umeme wao wako mbali. angalia botswana, angola. kisha mfano huo upeleke zimbabwe utajua hatujapata kiongozi tangu alipofariki mwl nyerere.
   
Loading...