Laiti JB, Kanumba, Wema na wengineo wangekuwa wanamtangaza Mungu! Tanzania ingepona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laiti JB, Kanumba, Wema na wengineo wangekuwa wanamtangaza Mungu! Tanzania ingepona

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Pdidy, May 18, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  kwa mtitiriko wa hizi filamu kila kukichwa jamani wanaongeza nyingine
  nimekaa nkasema laiti watu hawa wanaojazana kwenye hizi filamu
  wangekaa na kuamua kumtumikia Mungu na kama umaarufu wao wanavyopendwa
  natumaini laana hizi za tanzania zinazotiririka zisingekuwepo leo hiii

  Embu wan filamu geukeni muwamue kumtumikia mungu hata kwa njia ya filamu
  natumaini roho za wengi zitapona........na natumaini kwa tanzania inawezekana
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama yawezekana naomba contacts za Wema Sepetu na Aunt Ezekiel nataka cheza nao movie! Watalipwa vizuri....kulingangana na perfomance....LOL
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  natumaini utakuwa pastor kwenye movie
  ntajitahidi nsaharudi porini mpwa
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hahahahahah hapa ni zile movie za above 18! mambo ya kikubwa
   
 5. M

  Mugalu Member

  #5
  May 18, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chakula alachomtu kinachangia kwa kiwango kikubwa ubora wa afya yake. Kadhalika roho ya mtu inastawishwa kulingana na aina ya chalula inacholishwa. What do yuo feed your heart!!! Kwa kile unachoona/ angalia, kile unachosoma na kile unachosikiliza. Iwapo wasanii ambao ni waelimishaji jamii wanapika aina fulani ya chakula na kulisha jamii, matokeo yake ni dhahiri. Kwa wasanii: mtu huyanena yale yaujazayo moyo wake, kwa mapishi yenu, mwalisha nini jamii. Nakubaliana na Pdidy.
   
 6. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kweli kabisa. umenana vyema.
   
Loading...