Laini za TTCL

Laini za TTCL

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
2,818
Reaction score
3,731
Wakuu naulizia nitapata wapi laini ya ttcl nitumie kwenye simu yangu ?napatikana kigamboni dar es salaam
 
Kuna line za aina mbili za ttcl 1. CDMI ambazo hazisapoti katika simu za GSM ambazo ndo zinatumiwa na watu wengi. 2. GSM ambazo zinasapoti 3g na 4g LTE. Je wewe ulihitaji ipi? But Line na accessories zote za TTCL zinapatikana katika ofisi na maduka yote ya TTCL yaliyotapakaa nchi nzima. Kama uko kigamboni unaweza fika ttcl makao makuu ofisi ziko posta.
 
Nataka ya kutumia kwenye simu. Simu yangu inasapoti 4g je huduma huku ipo.? Nmaanisha minara
 
Bosi unataka line ama unataka minara???
mkuu laini bila minara itakuwa na faida gani?; OK nimeshanunua laini haifany kaz inaandika emergency calls only that means hakuna access yyte ya network nakushauri Kama we ni muhusika ttcl Fanya mpango mlete huduma kigamboni mtauza Sana Kama vp mtaendelea kuonekana shirika jipu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom