Laini ya Royal katika mtandao wa Halotel

Laini ya Royal katika mtandao wa Halotel

Mudi_kidato

Senior Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
146
Reaction score
184
Jaman admin wa JF nashindwa kujibu comment maana ombi langu lipo pendin

OK, natoa ufafanuzi kuhusu royal kwamba ukisajili lain ya royal bundle ya Halotel unapata dakika 120 kupg simu mitandao yote na dakika 300 Halotel kwa Halotel na kuhusu mb ni bila kikomo mwezi mzima yaan haijarish unatumia nini wewe tumia tuu mwez mzima

Wanaosemq et internet sijui inapungua kas basi wanasajili halfu ikisumbua nawarudishia pesa zenuu

Namba Yangu 0620775595 napatikana Dar ofisi Yangu IPO mnaz mmoja na fkil nimeeleweka ahsanten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom