Laini ya m-pesa

Joined
Aug 27, 2013
Posts
68
Reaction score
4
Zipo mbili till na second simu mbili (management). Nipo dar anayehitaji anicheki PM tufanye biashara,bei laki mbili kwa kila till na second simu yake.
 
Mimi nauza line ya mpesa kwa laki 2 niko moshi
 
Mi pia nauza kwa laki na 80 kwa anayehitaju ni pm then tufanye biashara
 
Mom nahitaji Kwa elf 70 tu,kama mnaafiki tufa ye biashara
 
Mbona kila mtu anauza laini za tigopesa,m-pesa na airtelmoney? Kuna nini ?
 
Kila moja anauza na kununua kwa sababu zake hata wewe kama unataka utauziwa pia
 
Mimi ninazo nauza kwa laki na nusu tu, anayehitaji ani pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…