Laini ya m-pesa

Laini ya m-pesa

Joined
Aug 27, 2013
Posts
68
Reaction score
4
Zipo mbili till na second simu mbili (management). Nipo dar anayehitaji anicheki PM tufanye biashara,bei laki mbili kwa kila till na second simu yake.
 
Mimi nauza line ya mpesa kwa laki 2 niko moshi
 
Mi pia nauza kwa laki na 80 kwa anayehitaju ni pm then tufanye biashara
 
Kila moja anauza na kununua kwa sababu zake hata wewe kama unataka utauziwa pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom