B babsaalum New Member Joined Jun 5, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Jun 6, 2017 #1 Mambo wana jf naombeni kujua biashara ya hiyo kitu,kuanzia mtaji ,faida,hasara,changamoto. Msaada wajameni
Mambo wana jf naombeni kujua biashara ya hiyo kitu,kuanzia mtaji ,faida,hasara,changamoto. Msaada wajameni
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,318 Reaction score 7,984 Jun 6, 2017 #2 Acha uvivu, tafuta humu kuna nyuzi nyingi zimeelezea kila kitu
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,200 Jun 6, 2017 #3 Nina laini ya tigo pesa nauza 150K Kama unaitaka
uberimae fidei JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,789 Reaction score 4,459 Jun 6, 2017 #4 babsaalum said: Mambo wana jf naombeni kujua biashara ya hiyo kitu,kuanzia mtaji ,faida,hasara,changamoto. Msaada wajameni Click to expand... Faida utapata kubwa zaidi kama eneo unapoweka biashara yako wateja ni wengi .wanatoa na kuweka. Ila mdau ukiitaji laini Tigo pesa na m pesa nichek pm chap kwa bei nzuri
babsaalum said: Mambo wana jf naombeni kujua biashara ya hiyo kitu,kuanzia mtaji ,faida,hasara,changamoto. Msaada wajameni Click to expand... Faida utapata kubwa zaidi kama eneo unapoweka biashara yako wateja ni wengi .wanatoa na kuweka. Ila mdau ukiitaji laini Tigo pesa na m pesa nichek pm chap kwa bei nzuri