Lain ya royal bundle

Lain ya royal bundle

Mudi_kidato

Senior Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
146
Reaction score
184
Naitwa mohamed juma ni mfanya kaz wa Halotel Niko APA kutambulisha huduma ya royal bundle hii lain inakupatia mb bila kikoko mwez mzika na dakika 120 all network na dakika 300 Halotel kwa Halotel gharama ya ke ni elf 10 unasajiliwa na kifurush cha mwez unapata hapo hapo mb ni bila kikomo napatikana dar tuuuu..0620775595 ahsanten saanaa
 
Elezea vzuri sye team ganda la ndzi tuelewe. .hvi hyo ofa ndo ya kila mwezi au huo mwezi ukiisha na bando ndo halipatkani tena?
 
Baada ya mbz za kusajiliwa kuisha nini kitafuata mkuu? Namaanisha ktk kujiunga tena.
 
mwamba mandezi watakubishia..ila hio laini ipo na inatambulika kiofisi na halotel
 
sasa mkuu hyo royal bundo unayounga inatofauti gani na hii, maana royal bundle ina mb kama zinavyoonekana hapo
tapatalk_1568135322611.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom