W wajojo Senior Member Joined Apr 29, 2013 Posts 155 Reaction score 83 May 14, 2013 #1 Mnadhani hamyajali maumivu yangu moyoni,na wala hampendi kwangu kwangu yatokee mazuri,hata niliowaheshimu leo hii mmenigeuka.duh kumbe hii vita ya kitambo now ndo natoa matongo tongo duh kweli jide kachokaaaaa...
Mnadhani hamyajali maumivu yangu moyoni,na wala hampendi kwangu kwangu yatokee mazuri,hata niliowaheshimu leo hii mmenigeuka.duh kumbe hii vita ya kitambo now ndo natoa matongo tongo duh kweli jide kachokaaaaa...
delusions JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 5,001 Reaction score 1,292 May 14, 2013 #2 Vita vya panzi
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 332 May 14, 2013 #3 Halafu nyimbo zake zote ni malalamiko na masikitiko.
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,725 Reaction score 2,263 May 14, 2013 #4 Clouds ni vibaka wanaowanyonya sana hawa wasanii wasio na elimu dunia, wakipewa shoo moja wasanii wapo tiyar kuwatukana hata wazazi wao
Clouds ni vibaka wanaowanyonya sana hawa wasanii wasio na elimu dunia, wakipewa shoo moja wasanii wapo tiyar kuwatukana hata wazazi wao