Ivi wewe kwa akili zako timamu ni nani anaweza mfikia jide? Lazima mkubali kutoa pongezi kwa huyu dada,kwanza ameanza game kitambo sana kuna ambao ameanz nao lakin sasa awasikik kabisa,sas kwa nn watu wasimpongez kwa hil?wako wapi kina ray c na wengine wengi? Jide anamilik band yake binafs,ana restaurant yake na biashara nyinginezo na bado anaendelea kuwik kweny soko la muzik..na ni mwanamzik pekee nadhan mweny tunzo za kumwaga kama unabisha uliza nani anashikilia tunzo ya mwanamuzik bora wa kike toka 2006 had 2011 utaelewa kazi ya huy dada