Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,987
- 142,362
Kwa hiyo na wewe unadhani umeandika?
au hivyo vimaneno vya kipumbavu unadhani kila mtu atakua na Stunt.....
Pumbavu kabisa
....unamfahamu Prof. Maboko wa Udsm? Mukandala?
......jaribu kutafuta article zao usome
...nyau
Ndiyo, nimeandika.
Umekielewa nilichokiandika?
Watu makini hujali sana umahsusi. Sasa basi, hebu niorodheshee hivyo
vijimaneno vya kipumbavu halafu unieleze kwa utondoti upumbavu wake.
Ukishindwa kufanya hivyo wewe ndiyo utakuwa mpumbavu kwa kusema jambo
ambalo huwezi kulitetea.
Pumbavu ni bibi yako mkaza babu yako mzaa nyoko.
Siwafahamu hao watu. Ni akina nani kwani? Mabwana zako?
Sina muda huo.
Kimburu:heh:
Unaonekana unapenda sana mipasho.....si bure lazima Rugay anahusika sana kukupumulia kisogoni...
nichambue nini kwenye utumbo huu ulioandika?.....
akili ka Le Mutuz
Na wewe nani anakupasulia mbegu? Sugu?
lakini wewe ni mwanaume...
na kupumuliwa Tanzania bado haijaruhusu.......
kwa hiyo mwambie Rugay akupumulie kwa siri sababu wakikusikia wake wenza itakua balaa......
by the way, karibu unywe Ulanzi.....maana umeshapanic
Kama kwako Kiingereza ni hadhi basi ukweli ni kwamba mimi ninakijua mara mia arubasitini zaidi yako.
Kwa hilo najiamini bila kimuyemuye hata chembe. Kwa hiyo siyo kwamba najifanya sijui najua "kiingilshi". Ni ninakijua kukuzidi.
Kujua kupembua kati ya mchele na pumba nayo ni alama ya werevu. Vivyo hivyo kupembua kati ya mzaha na umakini. Jaribio ambalo mmefeli wote.
First off, what great thinker has a swastika on their avatar? You!
Second, what great thinker launches into gratuitous tirades of insults as opposed to a measured and civil confabulation? You.
Third, in the pantheon of great thinkers you are no where near it. To call yourself a great thinker is a travesty of the facts. You ought to stop it.
Na wewe nani anakupasulia mbegu? Sugu?
Hujui wewe. Unaungaunga tu. Angalia dogo alivyokuumbua na kukopikopi kwako. Shuu limekushuka.
Halafu eti huyu naye ni moderator.
Unambwelambwela sana wewe. Hilooo kubwa zima linaumbuliwa na vitoto vidogoooo
ulidhani mi ni mla vumbi na mnuka kwapa?
Wewe una wazimu kabisa. Nani ni moderator?
We Nyani Ngabu umeumbuka kama zuzu leo kudadeki.
Kama hutaki kujua nakula bata Marekani basi acha kunizushia kazi ambazo sizifanyi huko mavumbini.
Mimi sijawahi na sifanyi kazi Clouds na siishi mavumbini. Get that heaux.
Ndo tatizo lenu waBongo wenu mkienda kubeba Box Ulaya au America,,,waTanzania wa sasa hivi sio miaka ile ya giza.
Nimeumbuka nini?
Umekopi kizembezembe, madogo wamekushtukia. Aibu hiyo
Niko savvy kuliko unavyonidhania. Na nilikopi hivyo kwa makusudi kabisa lakini kwa vile wewe uko obsessed na kuumbuana, hilo hutaliona.
Jaribu tu ku google Great supine protoplasmic invertebrate jellies uone hits utakazopata halafu tumia common sense yako (kama unayo) kupima, kuchuja, na kuchekecha kati ya unachodhani na ninachokuambia. Jibu utakalopata basi hivyo ndivyo ilivyo (kwako lakini).
eti ''niko savvy kuliko unavyonidhania.''