Ladies..Which one is your favorite ombre?

Kwa taarifa yako tu aina ya ngozi yako kwenye lips inafanana na ya kwenye "kijambio" inaitwa mucosa...na zote ni aina flani ya pipe zinazotoka nje ya mwili kitalaamu tunaita alimentary canal...
 
Kwa taarifa yako tu aina ya ngozi yako kwenye lips inafanana na ya kwenye "kijambio" inaitwa mucosa...na zote ni aina flani ya pipe zinazotoka nje ya mwili kitalaamu tunaita alimentary canal...
Hebu hukoo..aaah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sie mwenyewe ndo tunaelewa tunameza au hatumezi
But truth ni hatumezi!!
Hivi hizi rangi si mnameza saaana ?! Alafu kila asubuhi unakuta anapaka daa huko tumboni kuna color studio asee [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…