Ladies what do you keep put in your handbags (purse )?????

vijiko
umma
kikombe
pilipili
ndizi
tomato...

mkoba wa mdada mmoja wa jf, kwa sasa naomba nisimtaje ila akizidi kunfatilia ntamweka hadharan maana siku hiyo sikuamin...

Ukisema tuu! na mie natoboa, bora ukimye ivo ivooo, OMG, nshajitaja
 
Diary & Pen
IDs
Tampoon
Kipochi kidogo cha make up (kina, eyebrow, lipstick, mirror, lipshinner)
Body spray
Novel mid size
Keys
Mobiles
Scarf
 
nail cutter
Mkasi
Uzi na sindano ya kushonea
Tasbih
Some pain killer tablets
Na vengine vingi vilotajwa apo juu.
Hand bag ina partition km nyumba.
Simu inaita mpk inakata huioni, lols
 
Lo! ni vitu vingi kwakweli. lipgloss,deodorant,hand sanitizer,hand lotion, tissues wet and dry,kitabu cha sala/bible,kalamu,notebook,chupi, pedi, simu na charger yake na vya kuweka masikioni, uzi na sindano au pini, chewing gum, a novel/au kitabu nitakachokuwa nakisoma kwa kipindi hicho,funguo mbalaimbali,vitambulisho binafsi,chupa ndogo ya maji ya kunywa. almost everything ndo hivyo saa unatafuta kitu inabidi umwage hand yote.
 
tatizo la mabegi makubwa hivyo ni kwamba ukidondosha tu ufunguo wa gari humo ndani basi mpaka uje uupate ni dakika 5, uanze kutoa kitu kimoja baada ya kingine..sometimes inakera uko mahali na mamaa unaona anaanza kuchokonoa chokonoa begi lake ukiuliza unatafuta nini anakuambia lip gloss ukimuuliza haiwezi kusubiri mpaka mfike mnakokwenda anakwambia hapana!! dah...am so glad am not a woman coz yangenishinda haya!!
 
u guys u make me laugh, bila kusahau mtandio,kalamu end of thinking capacity ila huyo anaeweka vijikô,tomato na uma ni nouma!
 
Yani mmenichekesha sana lol!
FirstLady1 kila mtu anaweka vile ambavo anavihitaji,

Mie nakuaga na kanga, lip glow,mirror,sunglass,walet ya mshiko,bible ndogo,note book na pen,na kibody sprey vile vichupa vidogo,Handkerchief na Small Umbrella,simu ni marufuku kuweka kwenye pochi tangu walivoniibia simu zangu pale mwenge kwa kukata pochi kwa chini,hizi naweka kwenye mifuko ya suruali km nguo ya siku hiyo haina mfuko nazishika mkononi tu PERIOD.
 
Last edited by a moderator:
tatizo la mabegi makubwa hivyo ni kwamba ukidondosha tu ufunguo wa gari humo ndani basi mpaka uje uupate ni dakika 5, uanze kutoa kitu kimoja baada ya kingine..sometimes inakera uko mahali na mamaa unaona anaanza kuchokonoa chokonoa begi lake ukiuliza unatafuta nini anakuambia lip gloss ukimuuliza haiwezi kusubiri mpaka mfike mnakokwenda anakwambia hapana!! dah...am so glad am not a woman coz yangenishinda haya!!
mtotowamjini ndo maana akaitwa mwanamke ..sometimes tunaondoka tumevaa viatu virefu ..vikikuchosha unafungua handbags na kuvaa sandals..

tumblr_lf7uweH84y1qbfigvo1_500[1].jpg
 
Yani mmenichekesha sana lol!
FirstLady1 kila mtu anaweka vile ambavo anavihitaji,

Mie nakuaga na kanga, lip glow,mirror,sunglass,walet ya mshiko,bible ndogo,note book na pen,na kibody sprey vile vichupa vidogo,Handkerchief na Small Umbrella,simu ni marufuku kuweka kwenye pochi tangu walivoniibia simu zangu pale mwenge kwa kukata pochi kwa chini,hizi naweka kwenye mifuko ya suruali km nguo ya siku hiyo haina mfuko nazishika mkononi tu PERIOD.

:biggrin1::biggrin1::biggrin1: samahani kwa kucheka bt hii imeniacha hoi..dah yani vibaka wa bongo sa wakati wanakata pochi yako kwa chini we ulikua wapi :biggrin1: dah!!
 
Yani mmenichekesha sana lol!
FirstLady1 kila mtu anaweka vile ambavo anavihitaji,

Mie nakuaga na kanga, lip glow,mirror,sunglass,walet ya mshiko,bible ndogo,note book na pen,na kibody sprey vile vichupa vidogo,Handkerchief na Small Umbrella,simu ni marufuku kuweka kwenye pochi tangu walivoniibia simu zangu pale mwenge kwa kukata pochi kwa chini,hizi naweka kwenye mifuko ya suruali km nguo ya siku hiyo haina mfuko nazishika mkononi tu PERIOD.
Cantalisia mie wamesema nimezidisha makorokoro du naona na ya kwako ni kibao shost hahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom