Ladies this is for you

Unawezaje kusoma kiswahili halafu usijue kuandika? This is weird 🙄🙄🙄🙄

Ohh nimeelewa kwanini... Utakuwa unatokea Mathare eeh????
 
Aiiiiii bebi umejibeba, umenicatch mafiling niaje, ka bill ya stima
 
Kuna kitu unakitafuta mdada,ila jeiefu ilivyo pana,utakipata tu,all the best
Huhuhuhuuuu chezea JF wewe?
Wenzie wanalia na kusaga meno.
Ila huyu anaonekana mjanja mjanja.
 
sifanani nae mimi nakojoa nimesimama yeye anachuchumaa....ntake radhi mkuu mimi Dada tena?
Sasa inakuaje unaingilia mambo unamsemea eeh? ye mwenyewe kapita kimya...vingine vikupite basi kaka angu
 
Huhuhuhuuuu chezea JF wewe?
Wenzie wanalia na kusaga meno.
Ila huyu anaonekana mjanja mjanja.
Hahaha,ngoja tuone anaweza kuwazidi ujanja,chezea toto la nai...
 
Weeeh hebu acha utani hapo kwenye pesa ala!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…