Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 920
- 1,454
@chrisgqperry
Nimeona nishee tu hii video lakini naamini ni wachache watakao relate.
Si unajua huku kwetu,
Appearances ✅
Honesty ❌
Uaminifu ❌
Integrity (uadilifu) ❌
Wale wanaoulizaga ilikuwaje mababu zetu wakauzwa utumwani, hili ni moja ya majibu.
Wewe mtu anayelala naye kila siku haogopi kumdanganya na kumuumiza sembuse wewe mnayekutanaga vilabuni tu. Utauzwa tu.
Yani ndo uchawi wenyewe, kumuongopea mtu huku unamuangalia usoni wakati unajua unamfanyia uovu.
Demonic.
Tuliuzwa utumwani kwa sababu sisi ngozi nyeusi ni wachawi.
Asante.