B Barnaba pro JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 210 Reaction score 13 Jun 7, 2014 #1 Habari wana MMU! Jamani tupeane uzoefu kwa jinsia ya kike na kiume utafanyaje ili uweze kujua kuwa huyu anakupenda kwa dhati ama la!
Habari wana MMU! Jamani tupeane uzoefu kwa jinsia ya kike na kiume utafanyaje ili uweze kujua kuwa huyu anakupenda kwa dhati ama la!
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Jun 7, 2014 #2 Love is unpredictable!!
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jun 7, 2014 #3 Kwa me jifanye huna haraka na papuchi na kwa ke jifanye hutaki kutoa papuchi, nafikiri hii kipimo kizuri sana
Kwa me jifanye huna haraka na papuchi na kwa ke jifanye hutaki kutoa papuchi, nafikiri hii kipimo kizuri sana
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Jun 7, 2014 #4 matendo yake sometimes....
Left back-gunner JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 572 Reaction score 234 Jun 7, 2014 #5 Jibu lake ni gumu mkuu labda siku ambayo unatakiwa uwekewe figo au ini la kuchangiwa na mwenzako akakubali kutoa lake...kinyume na apo ni maneno ya mdomo tu mkuu...
Jibu lake ni gumu mkuu labda siku ambayo unatakiwa uwekewe figo au ini la kuchangiwa na mwenzako akakubali kutoa lake...kinyume na apo ni maneno ya mdomo tu mkuu...
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,216 Jun 7, 2014 #6 mnyime ela uone
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jun 7, 2014 #7 Tupo sauzi tunamshangilia dimondi Tukirudi tutakupa majibu
B Barnaba pro JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 210 Reaction score 13 Jun 7, 2014 Thread starter #8 Me cielewi
B Barnaba pro JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 210 Reaction score 13 Jun 7, 2014 Thread starter #9 HARUFU said: Kwa me jifanye huna haraka na papuchi na kwa ke jifanye hutaki kutoa papuchi, nafikiri hii kipimo kizuri sana Click to expand... jifanye,lakini unataka
HARUFU said: Kwa me jifanye huna haraka na papuchi na kwa ke jifanye hutaki kutoa papuchi, nafikiri hii kipimo kizuri sana Click to expand... jifanye,lakini unataka