chikoxalate Member Joined Apr 18, 2018 Posts 62 Reaction score 22 Jul 13, 2019 #1 Habari wana jamvi naomba msaada anayeifahamu iyo kozi tajwa hapo juu ubora,udhaifu na application zake kwa kujiajiri na kuajiriwa. Natanguliza shukrani
Habari wana jamvi naomba msaada anayeifahamu iyo kozi tajwa hapo juu ubora,udhaifu na application zake kwa kujiajiri na kuajiriwa. Natanguliza shukrani
remedy50 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 675 Reaction score 289 Jul 14, 2019 #2 Wanakuja...