labda naweza kupata msaada

labda naweza kupata msaada

miss255b

Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
12
Reaction score
23
Majira ya saa sita na dk 24 nilisikia meseji kwenye simu yangu ya voda kufungua nkaona kipimo nilichotumiwa na rafiki yangu nnayemtambua kwa jina la namba 5 na kipimo hiki nakiweka kwenye makala hii nnayoandika leo na sababu kubwa ya kuandika makala hii ni kipimo hiki nilichotumiwa majira ta saa sita na dk 24.
Kwanza nngependa kuonesha mtazamo wa wanasayansi wa baadhi ya nchi za kimagharibi wao wanaamini chochote kigeni kinachoingia katika mwili wa mwanadamu mwili wa mwanadamu huyo hutengeneza kinga ya kupambana na kilichoingia katika mwili huo, na kilichoingia mwili hubaki na kumbukumbu ya kilichovamia katika mwili huo kwa mfano mtu alikuwa anaugua tb hata akipata matibabu mwili hubaki na kumbukumbu kama mtu huyu aliugua TB kadhalika mtu aliyejikata na wembe au kisu akashonwa kidonda kitapona lakini kovu litabaki katika mwili huo hiko ni kigezo cha kwanza ambacho wanasayansi wenzetu wa kimagharibi wanakitumia
Mtazamo wao wa pili watu wanaoishi pamoja kimahusiano ya mapenzi mmoja anakuwa ameambukizwa na mwingine anakuwa hana maambukizi, mtu anajiuliza nnaishi na mwenzangu nna tatizo na yeye hana tatizo na tulikuwa hatuna mipaka katika kushirikiana vipi mimi nina tatizo mwenzangu hana tatizo?, wenzetu wa kimagharibi katika mtazamo huu wanasema huenda mmoja kati yao cell zake zipo sild na haziruhusu virus kuingia katika cell hizo ataendelea kuwa salama lakini mwenzake atabaki na maambukizi.
Hii ni baadhi ya mitazamo katika baadhi ya mataifa ya wenzetu hata baadhi ya wanafunzi wao katika mataifa ya Afrika. nmetoa mitazamo michache katika makala zijazo ntaendelea kutoa mitazamo mengine zaidi mimi T.R Msigwa kutokana na mitazamo hiyo nnaiheshimu ila siikubali, katika makala yangu ya leo ntazungumzia vitu vitatu tuh kama ifuatavyo
(I)siku moja baada ya kujiuliza kwa kina kuhusu vipimo vinavyotumika kupima watu na kuwaambia wana maambukizi ya virusi vya ukimwi baada ya kuvichunguza kwa mda mrefu na baada ya kusoma mitazamo ya waafrika wenzangu hususani watanzania nkaona kuna kila sababu ya msingi kuendelea kujifunza namna gani naweza kuondoa mstari huo unaomtambulisha kama mtu huyu ni mgongwa kabla sijaendelea napenda kuwaambia wanaopenda kusoma makala za T R Msigwa wafahamu kipimo hiki kikionesha mstari mmoja mtu huyu ni negative na kikiwa na mistari miwili mtu huyu ni mgonjwa kwa mujibu wa sayansi za kimagharibu lakini mantiki yake kuonesha mistari miwili inamaanisha mwili unatoa taarifa kama kuna kitu kigeni kimeingia katika mwili si kirusi na hapa watalaamu watakuwa wanaelewa namaanisha nini mfano mjamzito miezi mitatu ya mwanzo kinga zake huweza kupungua akipimwa na kipimo hiki kinaweza kuonesha mistari miwli vile vile mwenye TB au hata mafua makali n.k
kazi yangu kubwa niliamua kwa dhati kukisoma na kukichunguza kipimo hiki niligundua mengi na kutambua mengi kwa sasa si wakati wa kuyasema niliamua namna gani naweza kutengeneza dawa ya kupoteza mstari huu ili mtu hata akipima popote akute mstari mmoja tu na hapa ndipo nilipofikia kwa wale vibaraka wa kimataifa ya magharibi hili jambo gumu sana na tunaweza vunja soko lao na ni faraja kwa wanyonge.
mtazamo wa T R Msigwa aliotoa kwa mzee wake ni tofauti kabisa na mtazamo wa kimagharibi na una uhakika kwa asilimia mia moja kama utafatilia mwenendo wa mashine ya viral load na vipimo vya HIV itafikia mahali hamna namna lazima ukubaliane na T R Msigwa. makala ntakayoandika siku ya ijumaa ntaandika vyanzo vinavyopelekea mwanadamu kupata maradhi na hatimaye damu yake kuharibika na kwa mujibu wa vipimo vinavyotumika ataonekana mtu huyu ni mwathirika
Nngependa kuwauliza wasomi wa kitanzania waliokuwepo kuanzia kipindi cha mwalimu au yoyote mwenye taarifa hizo anaweza kunijibu hili swali langu ni kipimo gani kilichotengenezwa na mtanzania chenye uwezo wa kutambua maradhi katika mwili wa mwanadamu na ni mwaka gani na kinafanya kazi katika hospitali ipi/? ndani ya taifa letu au tokea tupate uhuru tunaendelea kutumia vipimo vinavyotengenezwa na watoto wa wenzetu?. ni matumaini yangu nitapata jibu zuri kutoka kwa wasomaji wa makala hii
ujio wa 4A9 ni faraja kubwa kwa watanzania na wasiokuwa watanzania hasa wenye matatizo ya upungufu wa kinga katika milli yao, kiwanda hiki kidogo kinacholetwa na T R Msigwa kinakuja kuleta mapinduzi ya kiuchumi na kudhibiti pesa za watanzania kwa kutoagiza dawa nje ya Tanzania kutokana na umadhubuti wa 4A9.
kwa watu wenye matatizo katika miguu kuwaka moto. miguu ganzi.kuchoka,sukari. upungufu wa kinga mwilini. T R Msigwa ataendelea kuandika makala siku ya ijumaa na kurusha katika namba alizokuwa nazo na katika mitandao ya kijamii nafahamu nguvu ya wenye makampuni makubwa katika kutengeneza dawa na nnaona mahusiano yao na watawala lakini pia nawaona baadhi ya watanzania waliotumia dawa hiyo wakianza kupata faraja katika nafsi zao na kuanza kusheherekea safari mpya ya maisha yao hasa nnapoona kipimo hiki nilichotumiwa leo majira ya saa sita na dakika 24 kikionesha namna mstari huu unavyofifia niwaulize watanzania wenzangu mstari huu umefifia asilimia ngapi?
Ningependa kutoa ushauri kwa watanzania wenzangu hasa wasomi ni vizuri kujua ndoto yako ni ipi na namna gani unaimarisha ndoto yako kuliko kutegemea ndoa zao na kuimaruisha ndoto zao
T R Msigwa
0713646691, 0752819047
 
Last edited:
Back
Top Bottom