mi cielewi labda nimeona mtu amepanda kwa gari na familia yake anetoka job kanpandishwa mbele mfanyakazi mwenzake nyuma ndo kapanda mke wake na mtoto je nisawa?
mi cielewi labda nimeona mtu amepanda kwa gari na familia yake anetoka job kanpandishwa mbele mfanyakazi mwenzake nyuma ndo kapanda mke wake na mtoto je nisawa?
hyo hata me nshakutana nayo! cku 1 nlikwenda kutembelea family ya rafk yangu. sa wkt twatoka out nkamwona rafk angu na mwanae wanaingia ct ya nyuma nkamwambia mama d mbna waingia ct ya nyuma akaniambia kukaa na mtoto ct ya mbele ni risk make kama ikitoke ajali ya ghafla mtoto ndo atatangulia kuchomoka kwenye kioo cha mbele! so hii yaweza kuwa ndo sababu
So mshkaj wangu tukitoka job tukamptia wife inabidi mwana mpishe wife!ha ha ha,kwani kataga mayai anayalalia kwenye gari!kwan mbele kunani?uo ni ushamba na usumbufu!
eversmiling gal,keep on smilling! hakuna ha ajabu hapo,hata ningekuwa mimi nisingekubali nikae mbele na mwanangu akae nyuma.kwa usalama wa mtoto ni bora kukaa nae!after all,kukaa mbele hakumaanishi kuwa wewe ndo mke wake,kama ni wako ni wako tu!

Inawezekana kabisa mamaa kaona mshua na mshkaji wake wanaweza kupiga story vizuri zaidi kama wote wakikaa mbele. After all mamaa na mshua wapo pamoja siku zote, ikiwa pamoja na all night, huyu mgeni anakuwepo kwa muda mdogo tu.
Ki-Afrika hii gesture inaweza hata kuchukuliwa kama heshima kwa mgeni.
Unless ile seat ya mbele imebandikwa label kwamba "seat ya mamaa", haiko mukinga.