Ruqaiyah JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 1,119 Reaction score 1,484 Jan 13, 2017 #21 Mahaba niueee...nipondeponde kama nyanya.... Mpaka nikose cha kufanya....[emoji6]
Mitha JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 706 Reaction score 1,024 Jan 13, 2017 #23 Sky Eclat said: Wengine wanaamini watambadilisha mwanaume wakiwa katika ndoa, ki uhalisia kumbadilisha mtu tabia ni ngumu sana. Kuolewa na kama bahati nasibu, hata akiwa mlevi tena awe ka status mjini, ulevi unauvalia miwani. Click to expand... Haaaa haaa !!! Tutajenga daraja tukifika mtoni.
Sky Eclat said: Wengine wanaamini watambadilisha mwanaume wakiwa katika ndoa, ki uhalisia kumbadilisha mtu tabia ni ngumu sana. Kuolewa na kama bahati nasibu, hata akiwa mlevi tena awe ka status mjini, ulevi unauvalia miwani. Click to expand... Haaaa haaa !!! Tutajenga daraja tukifika mtoni.