rebecca1995
New Member
- Nov 2, 2018
- 4
- 0
natafuta kazi ya maabara mkoa wowote elim yangu n ngazi ya cheti nina leaving tu nimemaliza mwaka huu mkoa wowote
Tulizana wewe mtoto baba zako madaktari wako mtaani mwaka wa pili hawana kazi. Kazi hakuna overnahitaji mda huu nipo
Hahahaaa anachukulia too simple kama heading yake alivyoandika, sasa hivi hadi kuvolunteer tu ni shughuli kupata sembuse kazi. Avute subra lkn tafuta kuvolunteer wakati anasubirTulizana wewe mtoto baba zako madaktari wako mtaani mwaka wa pili hawana kazi. Kazi hakuna over