Unatakiwa utaje mahali ulipo au chuo umechopangiwa ili kama kuna anayefahamu ukufahamishe. Mfano wewe uko Katavi, alafu jamaa wa Arusha anakwambia mkutane akuuzie, mtakutania wapi.
Taja mahali ulipo au chuo umechopangiwa, ili tujue tutakusaidiaje!