wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,542
Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuwa na raslimali nyingi kuliko zote, Ghana ni nchi ya kwanza duniani kuwa na dhahabu nyingi (I stand to get corrected)
Lakini Tanzania inaongoza Kwa kila kitu.
1.Tanzanite (hakuna nchi yenye madini haya duniani ni Tanzania tu)
2.Dhahabu( Tanzania ni ya tatu duniani kuwa na dhahabu nyingi)
3.Almasi (Tanzania ni ya tano duniani kuwa na Almasi nyingi)
4.Ardhi ya rutuba (Tanzania ina 45% za ardhi nzuri kabisa ya rutuba Kwa kilimo na kuziacha nchi kibao duniani)
5.Maziwa/mito (Tanzania ni ya tatu duniani kuwa na maziwa makubwa na mito)
6.Tanzania ina eneo kubwa sana la bahari (kuna uchumi kupitia uvivu na Bandari, ila sisi pote ni ziro)
7.Misitu(Tanzania tuna misitu mingi Sana)
8.Wanyama pori na milima (Tanzania ni ya pili duniani)
9.Uraniam
10.Nickel
11.Mafuta
12.Gesi
Miaka 56 ya Uhuru, nyumba za tembe, nyasi na tope, umeme wa shida, maji ya shida, Elimu bora hakuna,siasa safi hakuna.
Hadi leo hii watanzania wengi kula nyama na mayai ni hadi sikukuu wakati ni nchi ya pili Africa kuwa na mifugo mingi.
Kwa mantiki hiyo huwezi kusema taifa lina baraka za Mungu.
Bali tuna laana ya Mungu, Kwa nini Mungu akupe vyote halafu bado uteseke na kuwa ombaomba?
Hiyo ni laana, tuangalie wapi tulianguka turudi na kutubu dhambi zetu, naye Mungu wa rehema atatusamehe nasi tutakuwa taifa kubwa.
Hatutakopa bali tutakopesha Kama neno la Mungu linavyosema.