Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
nakumbuka sana nlivyoitunza hadi nikiwa university second year , nkaona nimepata kumbe nilipatikana duuu nilimchukia yule kijana aiseee alinipa definition ya kibuti

Wadau naomba mnisaidie.
Kuna ukweli wowote kuwa ukitoa bikra ya mwanamke unakuwa umeingia naye kwenye agano?
Na pindi utakapomuacha akawa anakulalamikia kuna laana yeyoyete inayoweza kukupata?
Afadhali umeuliza mdogo wangu,
Usithubutu kutoa bikra ya binti yoyote, laana itakupata wewe hadi watoto wako wa kike, acha kabisa.
Subiri hadi uoe ndio ufanye ngono, sawa???????????
niioa asiye na bikra ina maana sina ahadi naye? Anapomwaga damu wakati wa hedhi anakuwa na ahadi na nani? Ikiwa kila ninympata hana bikra ina maana Mungu hakuniandalia mke? Wacha imani potofu
Kwa alie achaSio kweli, mfano akikuacha Yeye laana itaenda kwa nani
Hadi kizazi chake cha NNE.Afadhali umeuliza mdogo wangu,