Mkuu...ngoja nikulete kwenye dini...kaini alipomuua abili nduguye, damu ya nduguye iliyomwagika chini ili mlilia Mungu...kumbe damu ina uhai.....
Ukienda kwa waganga, ukitaka kufanikisha baadhi ya mambo yako watakwambia letu kuku ( hapa inahitajika damu ), au kama ishu yako ni kubwa, itasababisha kiwango cha damu kupanda kufikia hadi level ya mtu.... hapa kumbe damu ni uhai, maana ita ku connect moja kwa moja ktk ulimwengu wa kiroho ( rejea kwenye kuchanja chale)....
Wa anglican wana amini kumwagika kwa damu ya Yesu kumeleta upatano kati ya Mungu na mwanadamu...hapa pia tunaona damu ina uhai, maana imefanyika kama kiunganishi...
Kwa kumalizia, Jibu ni ndio....kutokana na sababu za hapo juu..yaani, kwa kumwaga damu ya mwanamke kwa kumtoa bikira, unakuwa moja kwa moja umeingia naye kwenye agano.