Laana ya kula rambirambi!!!

Chris Lukosi ndio alichukua kombe kwa hili.

Kwanini mnaolalamika na kumsingizia RC mnatamaa na pesa zisizowahusu kwa kiasi hiki!?
 
Aisee uko kama mimi, naanza kuhisi ni ugonjwa, nachukia sana mtu anayechanganya r na l,
mtu anaweza akawa ameandika kitu cha maana lakini nikishaona hizo, siwezi kuendelea tena kusoma
Mkuu vumilia tu!ni athari ya lugha mama(lugha ya kwanza) au mazingira.Ukiona R badala ya L anatokea kanda maalumu ile ya kwanza sio hii ya pili kuelekea musini,Sie kwetu kuna jamaa wanaweka N badala M(MTU=NTU) hii ni pande zile walikotaka geuza gesi kuwa maji,Kuna wengine F badala V(fiatu fyangu Mweee)badala ya vitu.Hawa wa njia moja nyanda za juu kusini.Samahani sana bwana mkubwa hatuna namna.
 
Ivi ni kweli watu wamekula rambirambi za marehemu wependwa wetu.
Basi kazi ipo
Super woman 2 hii avator yako inakivuruga kichwa changu Sana, napenda Sana hair dressing, hebu nitafute weekend ijayo nikupeleke American Nails kinondoni muslim pale ukajiweke sawa kidogo
 
Super woman 2 hii avator yako inakivuruga kichwa changu Sana, napenda Sana hair dressing, hebu nitafute weekend ijayo nikupeleke American Nails kinondoni muslim pale ukajiweke sawa kidogo
Asante Sana. bajet ya weekend hii. siwazi tena. nikukute wapi???
 
Na ukiona mtu anakuja kwenye msiba anategemea mfuko wa mfiwa kuhudumiwa basi ni bora nae angekua marehemu azikwe tu kuliko kuja
 
Kwakweli kuiba rambi rambi ni laana
Halafu Mkuu wewe Si upo Arusha huko? Au nimechanganya mambo? Nilitaka kujua hakuna namna wanaarusha mnaweza kujiorganize mkadai rambirambi iliyoliwa.
 
Halafu Mkuu wewe Si upo Arusha huko? Au nimechanganya mambo? Nilitaka kujua hakuna namna wanaarusha mnaweza kujiorganize mkadai rambirambi iliyoliwa.
Mi sipo Arusha nipo tarime, labda mtukodi wana tarime tukazidai......tukifika swali ni moja tu "G unatoa hutoi"
 
Nikijumlisha kitendo cha kuzuia watu wasipeleke rambirambi moja kwa moja kwa wafiwa na kutangazwa kwamba baadhi ya rambirambi zilitumika kwenye shughuli za mazishi ilhali serikali ilishasema itagharamia kila kitu nachanganyikiwa kabisa. Pesa zilizotangazwa kupatikana ni milioni 261. Walizolipwa wafiwa ni sh 3,850,000 kila familia kwa familia 32 ambazo jumla yake ni shs.123,200,000. Tofauti ya makusanyo na matumizi ni shs.137,800,000. Hizi ni pesa nyingi sana. Swali ambalo linanishinda ni hili:- Je, hao wachangiaji wangeamua kupeleka hizo rambirambi moja kwa moja kwa wafiwa, zingepatikana wapi za kununua majeneza na maua na gharama nyingine kama ambavyo mchanganuo wa gharama unavyosema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…