one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,325
La Liga wameishi muda mrefu kwa majina ya Ronaldo na Messi kuuza lakini EPL haiuzi kwa majina ya wachezaji ni team zinawafuasi wengi haijalishi nani anachezea ndio maana juzi baada ya Mpabe kuitolea nje Real La liga president akawa kama mbogo sababu wanatembelea nyota za wachezaji lakini huwezi kusikia Rais wa EPL kuongelea usajili wa wachezaji.Haifanyi promotion kama EPL inavyo fanya.Ndo maana EPL Ina fatiliwa sana.Lakini uwanjani timu za La Liga na EPL zikikutana mara nyingi mshindi huwa anatoka La Liga.
Lakini hapa ukikutanishaEverton vs west ham
Newcastle vs Aston villa
Bado ni game kali kushinda hata sevila vs Athletico Madrid
Hao ulio wataja Wana ushindani ndani ya ligi Yao lakini wakienda kwenye Ligi ya La Liga.Mara nyingi hawafui dafu.EPL inaushindani mwingi kuliko la lilaga...
Kuifanyia promotion tu hiyo ligi ni hela nyingi zinatumika.Kwa hiyo huwezi kuiangalia Kwa 20K.Ukiona ligi unayoifuatilia unaweza kuiona kwa kifurushi cha 20k ujue unaangalia Bonanza,
La Liga president ni nani huyo?La Liga wameishi muda mrefu kwa majina ya Ronaldo na Messi kuuza lakini EPL haiuzi kwa majina ya wachezaji ni team zinawafuasi wengi haijalishi nani anachezea ndio maana juzi baada ya Mpabe kuitolea nje Real La liga president akawa kama mbogo sababu wanatembelea nyota za wachezaji lakini huwezi kusikia Rais wa EPL kuongelea usajili wa wachezaji. Hata Messi alipoondoka walikuja juu Rais wa La liga wanauza kwa majina ya watu hilo linawatia wasiwasi. EPL is attractive haijalisha anacheza nani.
Laliga ina timu 2 tuu zenye hadhi ya kipekee lakini 18 zilizobaki ni mdebwedo tuu.EL CLASSICO (REAL MADRID VS BARCELONA) ndio mechi ya ligi ambayo hufuatiliwa na wengi zaidi duniani.
vilevile timu hizo mbili ndio zinazoongoza kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii.
LA LIGA NI BORA KULIKO EPL.
Lakini hizo hizo mdebwedo,ukizikutanisha na timu kutoka EPL za mdebwedo Zina win.Laliga ina timu 2 tuu zenye hadhi ya kipekee lakini 18 zilizobaki ni mdebwedo tuu.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
La Liga president ni nani huyo?
EPL INA MVUTO(attractive)
LA LIGA NI BORA( best)
Timu za EPL zimeshindana mara ngapi huko Europe League
😂 hujui mpira mkuu, Osasuna Vs Cadiz unapigwa mwingi kuliko hao Brentford Vs WolvesUnaweza kuenjoy kuangalia mechi mfano Brentford v Wolves, ila sio Osasuna v Cadiz
Mkuu mbona hili suala liko wazi? Sielewi tunabishana nini. Kuanzia Europa League mpaka UCL kote timu za La Liga ndio zinaongoza kubeba makombe. Sasa wewe unataka ubora gani?Niambie LaLiga ubora wake ni upi? Timu moja kubeba vikombe vingi ndio ubora ulipo?
Hicho ni kisingizio tu mkuu, ukweli ni kuwa ligi ya Uingereza ni overrated. Haina huo ubora inaosemekana inaoEpl wanachoshwa Sana na ratiba zao,ligi ngumu pia...mechi za mtoano Kama za ucl Zina mbinu tofauti
NI kweli kabisa mkuu, La Liga iko juu sana ukilinganisha na hiyo EPLMbona unajichanganya sasa, la Liga huwezi kufananisha na EPL ni mbingu na ardhi
Kwa hiyo kuuzwa ghali ndio ubora? Kwa akili yako Harry Maguire ni bora zaidi ya Diaz wa Man City kwa kuwa alinunuliwa bei ghali zaidi?Sema club sio vilabu vingi ni vilabu vipi hivyo mlivyochukuwa mataji mengi zaidi ya Real? Ubora wa kitu lazima kiende na thamani yake La liga imeachwa kwa mbali katika thamani ya kuuzwa tena mbali sana. Huwezi kuwa na ubora halafu thamani huna sema Real na Barca( walikuwa) hakuna team zaidi kutoka La liga tishio. PSG alikuwa na uwezo wa kuchukua sasa kesho tuseme ligue 1 bora. Kwa ufupi kibora lazima kiwe na thamani huwezi kununua NIKE original kwa bei za kariakoo.
Huu ndio ukweli mchungu. Hata Sevilla tu ikihamia EPL itanyanyasa sanaHaifanyi promotion kama EPL inavyo fanya.Ndo maana EPL Ina fatiliwa sana.Lakini uwanjani timu za La Liga na EPL zikikutana mara nyingi mshindi huwa anatoka La Liga.
Hujui unachoongea mkuu. Akija Villareal tu atawanyoosha vizuri tu 😂We jamaa upo sahihi kabisa, chuku timu kama real Madrid leta EPL halafu icheze mechi za ligi, carabao, fa na UEFA kama haijamaliza ligi nafasi ya 10 na UEFA akatolewa mzunguko wa kwanza [emoji28][emoji28]
Wewe ndio unajidhalilisha mkuu. Unabishana na kitu ambacho kiko wazi kabisa. Kama EPL ni bora kwa nini wana makombe machache ya UEFA?Acha kujidhalilisha angalia top ten ya waliobeba makombe ya UEFA uniambie EPL imetoa timu ngapi na hao la ligwa wametoa timu ngapi
Kuwa attractive sio kuwa bora. Na ndio maana zinapigwa zikikutana na wababe UlayaLa Liga wameishi muda mrefu kwa majina ya Ronaldo na Messi kuuza lakini EPL haiuzi kwa majina ya wachezaji ni team zinawafuasi wengi haijalishi nani anachezea ndio maana juzi baada ya Mpabe kuitolea nje Real La liga president akawa kama mbogo sababu wanatembelea nyota za wachezaji lakini huwezi kusikia Rais wa EPL kuongelea usajili wa wachezaji.
Hata Messi alipoondoka walikuja juu Rais wa La liga wanauza kwa majina ya watu hilo linawatia wasiwasi. EPL is attractive haijalisha anacheza nani.