La leo limenisikitisha sana

Watu wenye ID zaid ya moja huwaga wana katabia flan hivi na ni rahisi kuwajua.

Maana kuna namna hata akibadili personality ya Original ID ila ataihusisha tu ID yake na ID fekelo.

Ila kwa Mang hawez fanya hivyo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…