kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 753
Ndivyo maana mjinga rafiki yake mjinga mwenzie Na mzinzi rafiki yake mzinzi mwenzieMnakulana tu fresh sababu wote niwajinga mtayamaliza kiujinga ujinga ivo.
Three optionsKwasababu hapo hotelini mmekutana kama mtafuta starehe na mtafuta pesa, basi mnatimiza lililowapeleka tena unahakikisha unamlipa mkeo ukiwa wake. Na mke unahakikisha jamaa anaridhika ipasavyo, kisha mke unatoka unamuacha bwana hapo kwenye hoteli.
Mkifika nyumbani mkiamua mnaweza msiyazungumze kisha kila mmoja wenu akajirekebisha, kama mtakuwa mko kwenye kiwango cha juu cha ustaarabu mnaweza ulizana sababu ya kila mmoja kwanini kwenda pale... kisha hayo mapungufu mkayarekebisha mkaendelea na maisha yenu bila ugomvi.
Mkiona ugomvi na madhara hauepukiki, basi mmoja wenu afungashe virago muanze maisha mapya kwa amani kila mmoja kivyake.
Best idea....Aaaah kumbe yote niliyokuwa nasikia kuwa wewe ni sex worker ni kweli.. Kwa kweli sikuweza amini kama mtego wangu ungekunasa.....
Umefika hotelin na ukaona kulala peke ako sio poa, ukamuagiza mhudumu akuitie angalau dada poa mmoja anayejiuza... Mhudumu kaenda kukuitia....dada poa kaingia ndani kakakaa kitandani ila ile unamcheki usoni...La haula la kwata.. Unaona ni mkeo ndio kaletwa yaan katolewa huko kwenye dangulo kumbe nae alikuwa kazini mda huo...
Sasa je kama wewe ndiye huyo mume ni nini ungekifanya,, na hivyo hivyo ungekuwa ni mke ni nini ungefanya?
=================
Kalenga kidamali