SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Hiyo ni mechi ya kirafiki. But kwa wenzetu ndio wanatafuta namba hapo hasa wachezaji na kocha kuangalia mbinu zake.
Mwanzo mzuri wa Van Gaal na kikosi chake tofauti kama alivyokuwa Moyes katika kuanza.
Tusubiri mechi nyingine za kirafiki hasa ile ya Real Madrid vs Man U.