kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
kyala ugwa kumwanya akutule fijo .
Kyala nkota, Kyala Gwamaka, Kyala Mololo ikitutuula kikolo. Kyala akusajeghe fijo.
kyala ugwa kumwanya akutule fijo .
Kuna cha kueleweka humo sasa!
Kyala nkota, Kyala Gwamaka, Kyala Mololo ikitutuula kikolo. Kyala akusajeghe fijo.
Hapa hapa mjini maji ya bomba machafu yani yana takataka kabisa!
Kwetu ngonga...barabara anayopita Gen.Mwamunyange ni mbovu. Watu wanaboresha makazi yao tu lakini watu wanaowatumikia hakuna chochote. Nakumbuka mara yamwisho kutumia maji ya bomba nilikuwa Std 3 or 4, tangu hapo bomba zile za DANIDA zikagoma, tumetumia visima vya kupampu navyo vimebuma sasa. Wazaz na wajukuu zetu huko wanashea maji na vyura.
Nashauri bora tupate mbunge masikini kuliko maarufu au tajiri...wanajisahau mno.