George Bush
Member
- Sep 8, 2024
- 58
- 42
Mgombea Urais wa Chama cha Siasa cha SAUTI ya UMMA,Tanzania Ndugu Kyara MAJALIWA amesema hitaji la KATIBA MPYA sio la SAU tu bali pia ni hitaji la Chama cha Mapinduzi (CCM)
Mgombea Urais huyo alisema kuwa Chama chake kinaungana na Chama cha Mapinduzi (CCM)katika MSIMAMO huo!
Mh Kyara amesema kuwa Sauti ya Umma IPO tayari kuunga mkono Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi sababu inajibi baadhi ya mambo muhimu ambayo Chauma inayapigania kwa ajili ya Watanzania!
Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025/2030 imeainiasha kuwa Chaka. hicho kotaanzisha mchakato wa KATIBA MPYA ndani ya miaka mitano ijayo!
Kilahheri Mgombea Urais,Kyara MAJALIWA!