Kwisha habari yake

PK aliunda kikundi cha waasi huyu Sankara akiwa kiongozi ili baada ya muda amkamate Wanyarwanda waone PK ni strong man na wamuogope kuwa ataeanzisha uasi atakamatwa. The whole issue was staged. PK na Sankara ni kama CCM na Lipumba
Naunga mkono hoja
 
Pale kagame vile anavyowaza atakavyomshughulikia sankara
 
PK aliunda kikundi cha waasi huyu Sankara akiwa kiongozi ili baada ya muda amkamate Wanyarwanda waone PK ni strong man na wamuogope kuwa ataeanzisha uasi atakamatwa. The whole issue was staged. PK na Sankara ni kama CCM na Lipumba
Naamini unachosema kwa sababu huwezi kukamatwa kwa kosa kubwa kama hilo halafu ukawa umevaa sun glasses tena ndani ya jengo wakakuwachia nazo. Serikali watataka ya kukuadhirisha na njia moja ni kuwa macho yako yakutane na macho ya wananchi ili wakusute!
 
PK aliunda kikundi cha waasi huyu Sankara akiwa kiongozi ili baada ya muda amkamate Wanyarwanda waone PK ni strong man na wamuogope kuwa ataeanzisha uasi atakamatwa. The whole issue was staged. PK na Sankara ni kama CCM na Lipumba
Hata sura haisadifu woga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…