Kwetu pazuri

Yaani unanitamanisha nirudi maana hapa ni matatizo tu na kila ukijitahidi ni bure na hasa gharama za kodi chumba nauli kula na sigara na demu kwa weeki mara moja na sioni hata akiba kidogo ya pato langu napokea mkono wa kulia hapo hapo tena natolea mkono wa kushoto ni ulofa tu ndo maisha yangu
 
Hii ni ile ya kule Mbinga imefanyiwa renovation kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…