Kwetu Pazuri Nimepakumbuka

Wapi hiyo wenye kwao?
 
kweli na disemba hiyo inajongea ni lazima tusogelee makwetu tukale samaki na ngege wa kutosha huku tukiogelea maji yetu ya baridi ziwani ..home is best!
 
Huu Mji Ungekuwa 'mbele' sijui ingekuwaje
 
Wazungu wangeweza kuhamisha miji huu ungekuwa wa KWANZA
 
kweli na disemba hiyo inajongea ni lazima tusogelee makwetu tukale samaki na ngege wa kutosha huku tukiogelea maji yetu ya baridi ziwani ..home is best!
Treni litakua limepona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…