Kwetu pazuri night club

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,695
Reaction score
9,070
Wakuu member yeyote aliyepo hapa tuonane nipo Tanga hapa kwetu pazuri
 
Ni lounge cyo club, tho kuna club ndani yake. Nipo mkuu tanga pazur nyuma kabsa uku Nguvumali
 
Kijana amekaririshwa akifika tanga lazima apate mtoto mkali

Vijana wa kitanzania [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Noma sana apo sema m napaelewa sana chichi night club papuch za kumwaga
 
Noma sana apo sema m napaelewa sana chichi night club papuch za kumwaga
Hivi lavida loka walifunga? Na club kali zenye watoto wakali wengi nipe list mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…