Dengue
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 2,050
- 1,469
Nani amekwambia ndani ya ndoa kuna, mashindano ya Miss Tanzania? Ndoa haina Lundenga kama Jaji. Ni wewe na Yeye basi. Mtu anapochagua ''kituko chake'' MUACHE, yeye ndoa najua kwanini kile Kituko kinamfaa kuwa Mke. Mkesio Muonekano wa nje, mke ni Akili yake ikoje makalio hayaendeshi ndoa,just incase you didnt know. Na nyie Wanaume mnaoshangaa mwanamke anapoamua kuolewa na 'sura ya mjomba' na kuanza kumnanga 'Shosti nae ndo nini kuolewa na mtu mfupi kama Kashata za Magomeni', Muache na Kashata yake,anajua ataitengenezea Kahawa na ndoa itakuwa tamu.
Wanawake wenye akili huwa hawachagui misuli na 6packs wala sura nzuri, wanachagua mtu mwenye Productive heart,anaweza kuwa maskini sasa lakini ndani yake kuna Utajiri ambao magube-gube hawauoni ila yeye ameuona na ana uhakika atauvumbua siku moja. Wewe kaa hapo sagula-sagula sura kama uko mitumbani Karume halafu uone kama hujaibuka na ndondocha la kihindi.